Header Ads

Breaking News
recent

MSANII WA BONGO MOVIE RACHEL HAULE AFARIKI DUNIA.

Muigizaji wa filamu Tanzania kwa jina Rachel Haule afariki dunia wakati akijifungua kwa upasuaji, ambapo pia mwanae naye alifariki. Rachael ameacha majonzi makubwa kwa mashabiki na wanafilamu wa Bongo Movie.

Ni siku chache zilizo pita Bongo Movie walimpoteza muigizaji na muongozaji wa filamu 'Adamu Kuambiana', lakini bado mashabiki wakimkosa Adam, sasa Rachael naye ameondoka. Poleni sana ndugu, mashabiki na wana Bongo Movie.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.