Header Ads

Breaking News
recent

IDEA FM RADIO YAMUENZI ARBERT MANGWEAIR KWA KUCHEZA NYIMBO ZAKE ZOTE.

Ni mwaka mmoja tangu msanii wa muziki wa kizazi kipya Albert Mangwea maarufu kama 'Ngweair' kuaga dunia tarehe 28/5/2013 huko Afrika ya kusini na kuzikwa kwao Morogoro. 95.7 IDEA FM RADIO kutoka Arusha wamemuenzi Ngwea kwa kucheza nyimbo zake kibao pamoja na Collabo alizowahi kushirikishwa.

Idea Radio ni radio mpyaa kabisa inayofanya vizuri Arusha na mikoa ya jirani, so kama uko karibu na mikoa hiyo basi tune 95.7 upate burudani kibao.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.