Header Ads

Breaking News
recent

PICHA: LUPITA NYONG'O ATAJWA NA "PEOPLE MAGAZINE" KAMA MWANAMKE MREMBO ZAIDI KWA MWAKA 2014.

Katika Jarida maarufu duniani la "Peole Magazine" Lupita Nyong'o aliyeonekana kung'ara kwa mwaka 2014 hasa pale alipochukua tuzo ya Oscar, sasa atajwa kama "mwanamke mrembo" zaidi kwa mwaka 2014.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.