Header Ads

Breaking News
recent

VANESSA MDEE KUACHIA WIMBO MPYA - "COME OVER".

Mtangazaji na msanii maarufu kama Vanessa Mdee, baada ya kutamba katika wimbo wake wa "Closer" na nyingine nyingi za kushirikishwa, lakini sasa  yuko tayari kuachia wimbo mpya wiki hii, unaokwenda kwa jina la "Come Over".
Source: B-Dozen@XXL

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.