Hii ni ngoma mpya kutoka kwa msanii anaefanya muziki aina ya Ragga ambapo
safari hii ameamua kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Naishi
Gheto.
Ngoma hii imekuwa ni kama majibu ya ile ngoma ya malkia wa muziki Tanzania
Lady Jaydee inayofahamika kama Yahaya.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA