Header Ads

Breaking News
recent

KALA JEREMIAH ft. NEY LEE - KUACHIA VIDEO & AUDIO YA KUFUNGA MWAKA, WIMBO UNAITWA "WALE WALE".

Rapper na balozi wa Pepsi, Kala Jeremiah anatarajia kufunga mwaka kwa kuachia wimbo mpya uitwao ‘Walewale’ sambamba na video yake. Kwenye wimbo huo, Kala amemshirikisha Neylee. Akizungumza na Bongo5 leo, Kala amesema angekuwa hajawatendea haki mashabiki wa muziki wake kama asingeachia wimbo mpya

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.