Tazama hapa wimbo wa video mpya ya msanii kutoka kundi la Jambo Squad yani "Chalii Mtoto wa Bibi kutoka Arusha akimshirikisha Jordan, wimbo unaitwa "Kipendacho Roho".
VIDEO MPYA YA JAMBO SQUAD CHALII MTOTO WA BIBI Ft. JORDAN - "KIPENDACHO ROHO".
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, November 11, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA