Header Ads

Breaking News
recent

RAIS MPYA WA TFF KWA SASA NI JAMAR MALINZI

Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera, Jamal Malinzi amechaguliwa kuwa Rais Mpya wa shirikisho la soka nchini, TFF. 

Jamal Malinzi Malinzi ameshinda uchaguzi huo wa leo uliokuwa ukifanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa NSSF, Water Front jijini Dar es Salaam kwa kupata asilimia 78 ya kura na kumbwaga mpinzani wake Athuman Nyamlani aliyepata kura 53. Malinzi atachukua nafasi ya Leodegar Tenga aliyekuwa Rais wa TFF

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.