Header Ads

Breaking News
recent

BABA YAKE WEMA SEPETU - BALOZI ISAAC ABRAHAM SEPETU, AFARIKI DUNIA.

Balozi Abraham Isaac Sepetu amefariki dunia mapema jana akiwa katika hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa Kisukari na kiharusi. 

Balozi Sepetu, ambaye pia ni baba mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu, hadi anapatwa na ugonjwa na hatimaye mauti alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar.

Source: DJ Choka

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.