DANGER ZONE LIFE - FAIDA NA HASARA ZA KUTUMIA MTANDAO WA INTERNET (AUDIO).
Wiki kii katika kipindi cha Radio cha Danger Zone Life, kinachopambanua mambo mbali mbali ya kijamii hapa nchini, kinakuletea baadhi ya matumizi ya mitandao hususani ya Internet. Kipindi hiki kinachoingia mtandaoni kila wiki, kimeeleza faida na njia mbadala za kuweza kukunufaisha wewe mtumiaji wa mtandao wa Internet. Tunaomba ushirikiano wako ili tuendelee kukunufaisha katika mambo mbali mbali ya kijamii.
Karibu sana, ukitaka kudhamini kipindi hiki, usisite kuwasiana nasi katika barua pepe yetu yani...matangazotz@yahoo.com. SIKILIZA KIPINDI HIKI HAPA.
Karibu sana, ukitaka kudhamini kipindi hiki, usisite kuwasiana nasi katika barua pepe yetu yani...matangazotz@yahoo.com. SIKILIZA KIPINDI HIKI HAPA.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA