VIDEO: CELINE DEON AREKODI WIMBO MPYA NA NE - YO - "INCREADIBLE".
Ne - Yo ni msanii wa R&B ambaye amekwisha fanya kazi na wasanii wakubwa yani (DIVA) kama Mariah Carey, Beyoncé, na Rihanna lakini safari hii ameingia studio na mwanamama nyota wa sauti Celine Deon.
Wimbo uliowakutanisha studio wasanii hawa, unaitwa "Incredible" ni wimbo wa msanii Celine Deon, wimbo ambao utakuwa katika album mpya ya Celine Deon inayoitwa "Loved Me Back to Life", itakayodondoka sokoni, November 5.Tazama video ya nyuma ya pazia wakati wakiwa studio wanarekodi wimbo wa "Incredible".

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA