PICHA ZA DIAMOND NA WEMA WAKIWA CHINA, ZAZUA MASWALI MENGI HUENDA WAMERUDIANA?
Siku chache tu tokea msanii wa Bongo Flava Diamond Platnumz atupie picha katika mtandao wake wa Instagram akiwajulisha mashabiki wake kuwa picha hiyo ni yawakati wanacheza movie yao mpya na Queen wa bongo movie mamaa Wema Sepetu.
Lakini malumbano mitandaoni yamezuka baada ya picha kuongezeka, zinazomuonyesha Diamond akiwa na Wema Sepetu katika pozi za O distance. Ukweli wanao wenyewe Diamond na Wema.....
Lakini malumbano mitandaoni yamezuka baada ya picha kuongezeka, zinazomuonyesha Diamond akiwa na Wema Sepetu katika pozi za O distance. Ukweli wanao wenyewe Diamond na Wema.....

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA