PICHA YA LULU IKONYESHA TATTOO MPYA ALIYOJICHORA - "Only God Can Judge Me"
Kupitia mtandao wake wa Instagram, Staa wa "Foolish Age" Lulu Maiko ametupia picha inayoonyesha Tattoo yake mpya aliyojichora, ambayo inasomeka kama "Only God Can Judge Me".
Lulu pia amefunguka akiwaasa watu kutowahukumu wenzao kwa mambo wasiyoyajua, kwani wanachukua nafasi isiyo yao kuhukumu kwa wakati anayehukumu ni MWENYEZI MUNGU peke yake.
Lulu pia amefunguka akiwaasa watu kutowahukumu wenzao kwa mambo wasiyoyajua, kwani wanachukua nafasi isiyo yao kuhukumu kwa wakati anayehukumu ni MWENYEZI MUNGU peke yake.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA