PICHA YA IRENE UWOYA ILIYOZUA MASWALI KIBAO KWA MASHABIKI WA BONGO MOVIE.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, muigizaji maarufu inchi Irene Uwoya, amepost picha yake inayomuonyesha akiwa location akitengeneza movie.
Swali ambalo wengi wamejiuliza, je huyu jambazi mbona amevua viatu? Ilikuaje jambazi akaenda kuvamia halafu akavua viatu mlangoni, kwa wakati wanaonekana wao tu hapo ndani? Te he te te teeeee, mie sijui.......

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA