Header Ads

Breaking News
recent

NEW MUSIC: ZAIID - AACHIA WIMBO WA MAZISHI, UNAOWADISS MARAPER KIBAO HAPA BONGO.

Zaiid amekuja kuzika karibu kila rapper mkali wa kizazi chake kwenye Wimbo wa Mazishi. Akitumia beat ya ngoma ya Jay Z, Picasso uliopo kwenye albam ya Magna Carta Holy Grail, rapper huyo wa Who Dat ametoa wanted kwa rappers kibao, hata washkaji zake. “Sina Wema Sepetu halichimbui madini, flow chafu hunifui Nikki, Minaj ah ah..........

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.