Header Ads

Breaking News
recent

TUSKER PROJECT FAME 2013 - WATANZANIA WAWILI WAYAAGA MASHINDANO.

Tanzania imepata pigo katika shindano la kuimba la ‘Tusker Project Fame msimu wa 6’ baada ya washiriki wake wawili Dubson na Tanah kuyaaga mashindano hayo leo.

 Fagio lililowaondoa Dubson na Tanah limempitia pia mshiriki wa Rwanda, Peace hivyo wote wameimaliza safari yao katika mashindano hayo. Tanzania ilikua ikiwakilishwa na washiriki wanne, lakini sasa imebakiza washiriki wawili ambao Angella Karashani a.k.a Angel na Hisia.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.