TAMTHILIA YA "MY ETERNAL" HIZI NI PICHA ZA HARUSI YA "KATERINA NA DANIEL" WALIPENDEZA SANA.
Wapenzi wa Tamthilia ya My Eternal au Walang Hanggan, hivi ndivyo mtoto mrembo Katarina, alivyopendeza katika harusi yake na Daniel katika Tamthilia hii ya My Eternal.Katika picha hizi mbili Katerina amebebwa katika gari maalum linalokokotwa na farasi.
Kushoto ni Coco Martin aliyeigiza kama Daniel akiwa na Emily Gidot aliye igiza kama mama yake Daniel
Kushoto ni Coco Martin aliyeigiza kama Daniel akiwa na Emily Gidot aliye igiza kama mama yake Daniel

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA