VIDEO: RAPPER E.V.E AZUNGUMZIA ALBUM YAKE MPYA, MISTARI YA NICKI MINAJ NA LOVE..
First lady wa kundi la Ruff Ride maarufu kama EVE amezungumzia Album yake mpya ya muziki inayofuta, na jinsi mashabiki wake wanavyoitafsiri. Lakini pia mwanamuziki huyu amezungumzia mashairi ya mwanamuziki Nicki Minaj ambapo alionekana kama kumdiss EVE katika wimbo wake.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA