Album mpya ya
"NOTHING WAS THE SAME" ya msanii mwenye asili ya Canada anayefanya shughuli zake huko Marekani na anayefahamika kama
Drake, baada ya kujipanga vyema kuzindua album yake mpya mwezi
September 24,2013 sasa album hiyo imesemekana kuvuja mtandaoni.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA