KAMPUNI MPYA YA "TIMBER VIDEOS" YA KUTENGENEZA VIDEOS YATUA KWA KISHINDO JIJINI ARUSHA.
Kampuni mpya ya "Timber Videos" ya kutengeneza music videos, movies na matukio mbali mbali yatua jijini Arusha ambapo chanzo kimefunguka kuwa kampuni hiyo imejipanga kisawa sawa katika kutengeneza video zenye ubora wa kimataifa.
Mmiliki wa kampuni hiyo ni producer wa muziki kutoka jijini Arusha maarufu kama Samtimber Jumper kutoka "Fnouk Music Studio" iliyoko pande za Njiro jijini Arusha. Production ya kushoot video imeshaanza, kwahiyo wale wote mnaohitaji kutengeneza video zenu kama nyimbo, matamasha na shughuli mbali mbali, mnaweza kubonyeza hapa.. Samtimber Jumper.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA