Msanii Katy Perry amefunguka kupitia mtandao wake wa Tweeter kuwa mwishoni wa mwezi huu ataachia teaser/bonus track inayokwenda kwa jina la "WALKING ON AIR" ambayo itakuwa sio single ambayo haiko katika album yake ya "Prism".
KATY PERRY KUACHIA BONUS TRACK - "WALKING ON AIR" KWA MASHABIKI WAKE.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, September 19, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA