DJ mkali wa hapa nyumbani Tanzania maarufu kama DJ CHOKA Leo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Dj Choka ni mmoja kati ya madj wanaharakati wa muziki hapa nchini. ASILI YETU TANZANIA BLOG inakupongeza sana na Mungu akuongezee kuishi.
DJ CHOKA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, September 19, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA