Header Ads

Breaking News
recent

SONG: JASON DERULO NA MPENZI WAKE "JORDIN SPARKS" WAACHIA WIMBO MPYA -"VERTIGO".

Wapenzi wa muda mrefu Jason Derulo na Jordin Sparks wameachia wimbo mpya unaoitwa "Vertigo" ikiwa ni baada ya Sparks kufanya single  yake ya "Marry Me" iliyozungumzia mahusiano yao ya kimapenzi.

Wawili hawa wamedumu sana katika mapenzi yao na hata katika wimbo huu utasikia Jordin Sparks anavyombembeleza Jason na Jason pia kwani anakili utamu wa Jordin hawezi kuupata sehemu yoyote.

USIKILIZE WIMBO WAO MPYA HAPA....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.