Header Ads

Breaking News
recent

CPWAA KUACHIA WIMBO WAKE MPYA UNAOITWA "CHEREKO CHEREKO".

Msanii wa muziki ya kizazi kipya hapa nchini maarufu kama CPWAA, hivi karibuni ataachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Chereko Chereko". Hivyo mashabiki wake kaeni mkao wa kupakua ngoma mpya mwanzoni mwa mwezi October.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.