Header Ads

Breaking News
recent

WANAJESHI 7 WA JWTZ WAFARIKI KWA SHAMBULIO LA WAASI SUDAN.

Askari saba wa jeshi la wananchi wa Tanzania wameuwawa huku wengine 14 wakijeruhiwa akiwemo askari polisi mmoja baada ya msafara wa wanajeshi 36 wa kikosi cha kulinda amani kilichopo Darfur nchini Sudani kushambuliwa ghafla na kikundi cha waasi nchini humo.

Chanzo Cha Habari: ITV TANZANIA

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.