SIKILIZA WIMBO WA "NDEGE DUME" - BLING & SHAX (NOIZ)
Moshi Town ipo katika ramani ya muziki haswa wa kuruka madebe na vijana hawa BLING B na SHAX wanadhihirisha hilo kwa kuwakilisha mji wa moshi katika ngoma hii mpya ya NDEGE DUME, ikiw ni mkono toka noizmekah Studios Sakina Arusha, chini ya producer Defxtro, pata kuisikiliza HAPA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA