PICHA ZA VURUGU ZA MABOMU ARUSHA - HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA.
Leo jijini Arusha kuliibuka taflani ambapo mabomu ya machozi
yalitandikwa kwa wingi katika maeneo ya mjini na Soweto, kitu
kilichosababisha watu kusitisha shughuli zao na kuhofia usalama wao.
Pichani baadhi tu ya sehemu ya vurugu maeneo ya Mianzini. Hapa ni maeneo ya Mianzini (Picha na Thomas Adam).
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA