MWANADADA P - CULTURE FT. JCB - "LIFE CAN BE" (Watengwa
Ni mkono wa Umbwa aka Chindo Man from Watengwa Family na Vocals zikiwa
chini ya Defxtro wa Noizmekah Productions na humu wanapita Sister
P-Culture na JCB.
Ngoma inakwenda kwa Jina Life Can Be, ni inspirational hiphop joint yenye mistari ya kuelimisha jamii, Pata kuusikiliza HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania, kwa mawasiliano zaidi na Mwanadada P-Culture.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA