 |
Ndugu,jamaa,marafiki na wasanii wakiwa kwenye mazishi ya rapper Langa
Kileo aliyefariki wiki iliyopita katika hospital ya muhimbili jijini
Dar es Salaam. |
Langa alizikwa jana kwenye makaburi ya kinondoni ambapo
mazishi yake yaliongozwa na wazazi wake wawili Mr & Mrs Kileo.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA