

Muigizaji maarufu wa filamu na msanii wa muziki maarufu kama Tonto Dikeh kutoka Nigeria, juzi kati katika tamasha moja huko Uingereza, alijikuta akiwaacha midomo wazi mashabiki wake baada ya kuanguka jukwaani kwa kile kilichodhaniwa ni kuwa bwiii!! Lakini mwanadada huyu amekuwa anavituko kadha wa kadha, huenda na hichi kikawa ni kawaida tu!!
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA