Monday, July 28 2025

Header Ads

Breaking News
recent

"JAMBO SQUAD" - WASHINDI WA "KUNDI BORA LA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA".

Kupitia wimbo wao wa "Mamong'oo" uliotayarishwa na producer matata kutoka A Town - Known as DX a.k.a Defxtro kutoka Noizmekah Studio, wameweza kukonga nyoyo za watanzania na kuwachagua JAMBO SQUAD kunyakua tuzo ya "Kundi Bora la Muziki wa Kizazi Kipya" katika tuzo za muziki za Kilimanjaro.

Huyu ndio producer wa kundi la Jambo Squad, anakwenda kwa jina la DX a.k.a Defxtro akiwa ndani ya Studio za Noiz Mekah jijini Arusha, huku akiwa anaonyesha tuzo ya kundi la Jambo Squad. DX amefurahishwa na ushindi wa wasanii kutoka A Town.

Leave a Comment

Powered by Blogger.