MAZISHI YA MSANII ALBERT MANGWEA KUFANYIKA MOROGORO BAADA YA MWILI KUAGWA DAR ES SALAAM.
Habari kutoka kwa wanakamati wa mipango ya mazishi ya
marehem Albert Mangwea zinasema kuwa mwili wa marehem Ngwea utafika Dar siku ya
jumapili saa nane mchana na sio jumamosi kama ilivyo arifiwa hapo awali…
Mwili huo utaagwa siku ya jumatatu saa mbili mpaka saa sita
machana ambapo safari itaanza kuelekea Morogoro kwa ajili ya mazishi.
R.IP NGWEA.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA