MASHINDANO YA RIADHA YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI YAMEPAMBA MOTO MJINI ARUSHA.
Mashindano ya riadha ya Afrika Mashariki na Kati tayari yamekwisha anza katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Mashindano haya yameshirikisha wanariadha wa nchi tisa wenye umri chini ya miaka 20, ambapo mita100 kwa upande wa wanawake ndio imefungua mashindano haya.
Matokeo zaidi tembelea site hii ya ASILI YETU TANZANIA
Mashindano haya yameshirikisha wanariadha wa nchi tisa wenye umri chini ya miaka 20, ambapo mita100 kwa upande wa wanawake ndio imefungua mashindano haya.
Hapa ni wakati wakati tayari wakiaanza kutimua mbio ya mita 100.
Kwa upande wa wanaume, Jumanne Chacha kutoka Tanzania ameongoza Mita 200 ambapo wa pili ni kutoka Zanzibar na watatu ni kutoka Uganda.
Pia kwa wanaume Mita 5000, namba moja ameshika Methiopia huku namba mbili akishika Mkenya pia namba tatu ni Mkenya.
Kwaupande wa Mita 800 wanaume, wa kwanza ametoka Kenya, wa pili Eritrea na wa tatu amekamata kutoka huko huko Eritrea.
Matokeo zaidi tembelea site hii ya ASILI YETU TANZANIA

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA