KAJALA KUTOKA NA FILAMU YAKE MPYA INAYOITWA "HEART ATTACK".
Muigizaji wa filamu za kibongo nchini +255 maarufu kama Kajala Masanja, sasa yuko katika hati hati za kurekodi filamu yake inayokwenda kwa jina la "Heart Attack" aliyowashirikisha mastaa wenzake kama Hemedy.
Filamu hiyo itazungumzia mambo kadha wa kadha yaliyomkuta yeye mwenyewe katika maisha yake, hivyo mashabiki wa filamu kaeni katika mkao wa kumpa sapoti Kajala ili aweze kuendeleza kipaji chake cha sanaa ya filamu. Asili Yetu +255 tuko pamo1.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA