Saturday, May 31 2025

Header Ads

HUYU NDIYE JAJI KHAMIS "KASHI" MSANII WA FILAMU (BONGO MOVIE) ALIYEFARIKI WIKI HII.

Kashi alikuwa ni muigizaji wa filamu na maigizo wa muda mrefu kupitia kituo cha ITV, lakini wiki hii alifikwa na umauti na kuwaacha wadau wa filamu nchini wakiwa na majonzi na simanzi kubwa.

Kashi amezikwa laeo katika makaburi ya Kinondoni Moslim. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen.

Leave a Comment

Powered by Blogger.