Hili ndilo vazi lililotengenezwa kwa kutumia kinga yani mpira wa kiume (kondomu) duh!! hii kali sasa!!! Hili pia ni vazi lililotengenezwa kwa kutumia toilet paper - ni vazi la harusi.