Header Ads

Breaking News
recent

BALOZI WA TANZANIA NCHINI AFRIKA KUSINI AELEZA NIKWANINI MWILI WA MSANII "ALBERT MANGWEA UMECHELEWA KUFIKA NCHINI.

Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini Radhia Msuya.
Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini kwenye picha hapo juu ametoa pole kwa familia,wasanii na wadau wote kwa kupotelewa na kijana ambaye bado watu walikuwa wanamuhitaji.

Amesema kuwa mwili wa marehemu Ngwair umechelewa kufika Tanzania kutokana na post mortem na taratibu za kupata kibali cha kusafirisha mwili huo kutoka Serikali ya Africa ya Kusini.Radhia alisema kuwa kama taratibu zote zitaenda sawa mwili huo utawasili siku ya Jumanne Tanzania.

Source: Anna Peter

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.