TAMTHILIA MPYA YA "WALANG HANGGAN" ITAKAYORUSHWA NA STAR TV HIVI KARIBUNI - "CLARA ZIDI KUTAMBA"
Baada ya Tamthilia ya "Mara Clala" kukonga nyoyo za watanzania wengi duniani kupitia kituo cha luninga cha STAR TV, sasa Tamthilia mpya ya kiphilipino itakayoonyeshwa hivi karibuni, inaitwa "WALANG HANGGAN" ambapo star wa Tamthilia ya MARA CLARA maarufu kama "CLARA" atakuwemo katika Tamthilia hii mpyaaaaa".
Fuatilia dondoo za Tamthilia hii mpya ya "WALANG HANGGAN" hapa hapa ASILI YETU TANZANIA (BLOG).
Fuatilia dondoo za Tamthilia hii mpya ya "WALANG HANGGAN" hapa hapa ASILI YETU TANZANIA (BLOG).


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA