Header Ads

Breaking News
recent

ADAM MCHOMVU AMEACHIA "BABA JONII MIX TAPE VOL 1"

Mtangazaji wa Clouds Fm, Adam Mchomvu amedondosha mix Tape yake mpya inayokwenda kwa jina la "Baba Jonii VOL 1, huku kwenye mtandao wake wa Face akitupia ujumbe kadha wa kadha....

"Kiukweli kabisa sio kwa Maujanja yangu nimeweza kupenya na kufika mpaka hapa nilipo ni kwa uwezo Wa Mungu na upendo Wa family, marafiki, ndugu zangu na nyie wote kwa ujumla kila mmoja kwa nafasi Yake ameniwezesha Mimi Kua Mimi na kuwa hapa niliko, ahsante sana kwenu kwa Amani na Imani kubwa mnayonipa duniani nazidi kupiga hatua, sina cha zaidi cha kuwapa ila naomba muipokee mixtape Kama zawadi yangu kwenu, tu review track kadhaa kwa xxl bdae sana tu.... Maisha yanaendelea !!! Much love"

Unaweza mkusapoti jamaa ili asongeshe muziki wake katika level ambayo wewe ungependa kuusikiliza katika speaker za sub - Uffer yako.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.