RAPPA "LADY YOO" FT. YOUNG OMEGA - "KIVIPI" (AUDIO).
Kwa
mara nyingine anakuja Mwanadada Rappa Lady Yoo Akiwakilisha Sanawari
akishirikiana na Yungo Omega toka River Camp Soldiers katika hili Hiphop
Ragga Joint lilosukwa pande za Noizmekah Production Studios Arusha
linakwenda kwa jina "Kivipi", Mpango mzima ni kuendeleza muziki wa Tanzania especially kwa Wanadada wanao struggle kuwakilisha katika fani. Download HAPA
-
-

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA