Header Ads

Breaking News
recent

MILLARD AYO - AFIKA JOHANNESBURG AFRIKA KUSINI KUFUATILIA UKWELI KUHUSU KIFO CHA MSANII "ALBERT MANGWEA".


Kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook "Millard Ayo" mtangazaji wa Clouds FM, alitupia picha hii tayari akiwa Afrika ya Kusini leo. na hayo hapo chini, ndio maneno aliyoandika katika profile yake......
"Nimefika Johannesburg S.A saa 4 zilizopita ili kupata ukweli wa kifo cha Ngwea, kaa karibu na @CloudsFM mtu wangu!"
"#CloudsFM #SA Japo M2theP anapumulia mashine, amemuona Bushoke na watanzania wengine akapata nguvu kunyanyuka kidogo akiwa kitandani."

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.