PICHA ZA BAADHI YA WASANII WALIOHUDHULIA KIKAO CHA MSIBA WA MSANII "ALBERT MANGWEA" PALE LEADERS CLUB.
Kala Jeremiah amemwelezea Ngwea kama
msanii wa pekee alikuwa 100% mkali wa Free Style na alimpenda kwa nyimbo
kali kama Ghetto langu iliyom inspire kuingia kwenye Game.
| P Funk majani nae amezungumza lakini alishindwa kutokana na uchungu aliokuwa nao juu ya msiba kwani bado haamni kama Ngwea hayupo tena. |
Noorah, Mez B na Proffesa Jay
Source: News Addict Tz
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA