Header Ads

Breaking News
recent

"CHINUA ACHEBE" - THINGS FALL APART - MWANDISHI MKONGWE WA VITABU BARANI AFRIKA AZIKWA.

Mwandishi maarufu wa vitabu vya "Things Fall Apart" na "No Longer At Ease" barani Afrika - Chinua Achebe, tayari amezikwa na kuwaacha maelfu ya wasomaji wa vitabu vyake, hususani Tanzania watamkumbuka kwa umahiri wake wa kuandika vitabu vilivyotumika hata mashuleni.

Ndani ya jeneza ndimo marehemu Chinua Achebe alimopumzishwa.

Wengi watamkumbuka Chinua Achebe kwa umahiri wake wa kuandika vitabu.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.