CANNIBAL AACHIA WIMBO MPYA UNAITWA - "BYE BYE".
Hii
ni brand new toka kwa Cannibal baada ya kuachia Legend iliyotambulika
zaidi kwa video yake ya kipekee,Cannibal ameamua kufanya wimbo huu as a
special dedication to his father,hii ni maalum kwa baba yangu
mzazi,nimemkumbuka sana na natumai wote mtaipokea vizuri wakati
nikiendelea kujiandaa na video itakayofanyika hivi karibuni "Cannibal"
.
.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA