TUKIACHANA NA UGOMVI WAO: NANI MREMBO - RIHANNA AU CIARA?
Kwa vyovyote vile, mastaa hawa wawili Rihanna na Ciara hawapendani, labda ni kwasababu ya ushindani wa kimaslahi au huenda kunasiri nzito kati yao ambayo mimi na wewe hatuijui.
Wasanii hawa wote wanafanya vizuri katika mauzo yao ya muziki na pia wote ni wasichana warembo.
Uwezo wa kimuziki na chuki zao zote tuziweke pembeni, Swali bado ni moja nani mwenye muonekano mkali zaidi ya mwenzake? Tazama picha hizi alafu sema kitu hapo chini.

![]() |
| CIARA |
![]() |
| RIHANNA. |

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA