JOSE CHAMELEON KUZINDUA ALBUM YAKE MPYA "BADILISHA" KWA KUANGUSHA TAMASHA LA NGUVU.
Mwanamuziki Jose Chameleone ameelezea kuwa amejipanga vizuri kwa ajili
ya kufanya tamasha la uzinduzi wa albamu yake alilolibatiza jina
‘Badilisha’.
Chamilion amesema anatarajia kushirikiana na wasanii mbalimbali wakiwemo Redsan, Professor J, Mr Nice na Masamba ambao yeye amewataja ndio vinara waliowakilisha muziki vyema katika tasnia hii ya burudani.
Chameleone ambaye amekuwa akiupeleka muziki wake kimataifa kwa takribani miaka 15 hivi sasa na kupata heshima kubwa, ameelezea kuwa uzinduzi huu unaotarajiwa kulipuka tarehe 26 mwezi huu jijini Kampala ni mahususi kwa ajili ya kusheherekea umoja na mvuto wa sanaa hii.
Gonga continue reading kuendelea..
Aidha mkali huyo amesema hii itakuwa ni show moja kubwa na ya aina yake ambayo pia imeandaliwa kusheherekea na kuuheshimu muziki wa Africa Mashariki na ndio maana ameamua kuungana sambamba na wasanii Professor J, Mr Nice na Masamba, ama kweli Mr Nice mwaka ni wako huu mzee wa Takeu!

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA