Header Ads

Breaking News
recent

MIAKA 13 YA QUEEN WA BONGO FLAVA "LADY JAYDEE" KATIKA MUZIKI KUFANYIKA SOON.

Kupitia ukurasa wa Facebook wa Queen wa Bongo Flava maarufu kama Lady JayDee ameonekana kutuia ujumbehuu....
"Wapenzi na mashabiki wa LADY JAYDEE hii ni kwaajili yenu, tarehe, muda na sehemu mtapatiwa taarifa siku si nyingi.. Tunahitaji support yenu itakuwa ni zaidi ya ileeeeeee ya miaka 10 ya JIDE..Hutakiwi kuikosa, iweke akilini na ujiweke tayari".

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.