 |
| Baadhi ya watangazaji wa EATV. Hapa tunauona Dullah, TBway360, Allan Lucky na Adrian Hillary Stepp — at Leaders club. |
Kupitia ukurasa wa Facebook wa
East Africa Television (EATV) nimekutana na baadhi ya picha nzuri za watangazaji pamoja wafanyakazi wengine walioshiriki Media Day 2013... Enjoy!
 |
| Mgeni rasmi wa li hii likuwa ni Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe. — at Leaders club. |
Bhoke Egina kutoka EATV. — at Leaders club.
When #HotMix and #5Connect meet. Prudence Gerald with Hotmixers Fatna Ramole and Adrian Hillary Stepp — at Leaders club.
 |
| Mwanamuziki Diamond Platnumz naye alikuwepo, hapa akiwa na crew yake. — at Leaders club. |
ZeComedy hapa wakiwakilishwa na Dr Rushwa na Master Face. — at Leaders club.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA