PICHA: AINA YA GARI KALI ANALOLIMILIKI MSANII "JAGUAR" KUTOKA KENYA.
Mkaree anayefanya poa sana nchini Kenya Jaguar baada ya kuachia trak
yake mpya iliyobatizwa jina ‘Kipepeo’ hivi sasa anafanya shooting ya
kichupa chake kipya.
Ni hivi karibuni habari zimeenea kuwa Jaguar amekuwa ni msanii mwenye mafanikio hadi kufikia kununua gari la kifahari aina ya Bentley ambalo limetumika mahususi kwa ajili ya video shoot ya kichupa hicho.
Gari jipya aina ya Bentley thamani yake ni $200,000 hadi $500,000 inategemea na ni model gani.
Chanzo: BaabKubwa Magazine

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA