Header Ads

Breaking News
recent

KIFO CHA BI. KIDUDE NI SIMANZI KWA WASANII WA MUZIKI NA MASHABIKI WA MUZIKI TANZANIA.

Picha ya Bi. Kidude enzi za uhai wake.
Mwanamuziki mkongwe wa miondoko ya taarabu Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi. Kidude amefariki dunia leo huko Zanzibar baada ya kuugua kwa muda mrefu toka mwaka jana.

Picha ya Bi. kidude enzi za ubinti wake.
Hakika Bi. Kidude ambae alikuwa akishirikiana na wasanii wa sasa kiushauri na kimuziki, atazidi kukumbukwa kwa mengi aliyokwisha yafanya enzi za uhai wake. Mungu ailaze roho ya marehemu Bi. Kidude mahala pema peponi. AMINA.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.